Chels Microfinance

Karibu

About Us

Chels MICROFINANCE SERVICES LTD ni kampuni inayotoa mikopo iliyosajiliwa mwaka 2015 chini ya sheria ya makampuni No. 12 ya mwaka 2002. Kampuni ilianza kutoa mikopo rasmi mwaka 2016. Mikopo yetu ni ya haraka na ya riba nafuu.

  • Sifa/ Vigezo Vya Mkopaji

    Mtanzania yeyote mweneye umri wa miaka 18 na anayejishughulisha na shughuli / biashara halali na aliye ajiriwa na taasisi yeyote.

  • Wadhamini Wa Mkopo

    Mume, Mke, Ndugu au Rafiki Wadhamini wawe na umri wa miaka 18 na wanajishughulisha shughuli halali.

  • Viwango Vya Mkopo

    Mikopo yetu inaanzia shilingi 200,000 – 100,000,000

Kopa Leo

Our Services

Our Services

Mikopo Ya Biashara

Dharura kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa.

Mikopo Ya Wafanyakazi

Mikopo ya wafanyakazi kwenye sekta binafsi na umma.

Mikopo Ya Ada

Mikopo ya Ada na wamiliki wa shule pamoja na vyuo.

Dhamana Ya Mkopo

Dhamana Ya Mkopo

Mikopo Ya Vifaa

Tunatoa mikopo ya vifaa ili kuwawezesha wajasiliamali.

Hati Ya Kiwanja

Hati ya kiwanja iliyosajiliwa, nyumba za biashara au shamba.

Kadi Ya Gari

Kadi ya gari iliyokatiwa bima kubwa.

Simu

Simu (latest smart phones zakisasa) kwa mikopo midogo.

TV na Kompyuta (laptop)

TV (latest smart TV zakisasa) kwa mikopo midogo.

Vifaa Vya Ndani

Kwajili ya mikopo midogo kuanzia 200,000 mpaka 1,000,000.